International Patient Care

Search form

 

Utalii wa Matibabu huko Hyderabad India

Swahili
Pata Ushauri wa Daktari Mtandaoni

Hospitali za Apollo, Jubilee Hills, Hyderabad inatoa huduma mbalimbali za afya kwa lengo la kutoa huduma kwa kila mgonjwa huduma bora zitakazowafaa. Huduma zinazotolewa zinatia ndani kutibu magonjwa mpaka programu za kuboresha afya kwa wagonjwa.

Hospitali ina vituo vyenye huduma bora, kama vile Kituo cha Magonjwa ya Moyo, Magonjwa ya Viungo, Dharura, Magonjwa ya Figo, Magonjwa ya Neva, Upasuaji wa Macho na Cosmetic zote zikitoa huduma bora katika njia salama kwa mgonjwa. Kila kituo kinajitahidi kuboresha huduma kwa kujifunza na kufanya utafiti ili kuboresha mbinu za kutoa matibabu na kukabiliana na magonjwa.

Zaidi ya yote , Hospitali ya Apollo Hyderabad imedhamiria kutoa huduma zenye kiwango cha hali juu kwa wagonjwa wote kutoka nchi mbalimbali na kwa upendo mkubwa.

Kwa ufupi Hospitali ya Apollo Hyderabad imetimiza yafuatayo:

  • Hospitali ya kwanza duniani kupewa cheti na Disease or Condition Specific Care Certification (DCSC) kwa Acute Stroke na JCI.
  • Bingwa katika kukabiliana na Dharura: ya kwanza kitaifa kuwa na gari za wagonjwa 12 pamoja na wafanyakazi waliozoezwa.
  • Inaboresha maisha ya maelfu ya wagonjwa wa moyo kila mwaka.
  • Ina huduma bora za kutibu kansa kwa kutumia vifaa bora na mazingira yanayofaa.
  • Inatumia teknolojia ya PET CT; ya kwanza nchini.
  • Inatoa matibabu ya kitaalamu kwa magonjwa ya trauma inayotokana na musculo-skeletal system.
  • Inafanya upasuaji wa aima mbalimbali aina ya cosmetic surgery ili mtu ahisi vizuri na kupendeza pia.
  • Huduma pekee ya kukabiliana na hatari kwa ajili ya kila mtu kulingana na umri.
  • Kitengo cha kupona, kitengo cha kwanza nchini kinachotoa huduma ya aina hiyo yenye ubora.

Katika Hospitali za Apollo tunaelewa kuwa kutafuta matibabu nje ya nchi yako ni jambo linaloweza kukuhangaisha sana na kukusumbua kimawazo lakini tutakusaidia kupunguza hali hiyo. Turuhusu tukusaidie kupanga pamoja nawe safari kwa kujaza fomu iliyo upande wa kulia ili Msaidizi wetu wa Kimataifa akusaidie.

Apollo Health City

Address: Jubilee Hills ,
Hyderabad 500033,
Telangana State, India,

Pata Ushauri wa Daktari Mtandaoni

Languages

Talk to Our International Representative form

logo
Patients Speak
Ms. Vishmi, Sri Lanka

Miss Vishmi , a 13 years old from Sri Lanka was treated at Apollo Hospitals for Scoliosis following her sister's surgery.