International Patient Care

Search form

 

Utalii wa Matibabu huko Chennai India

Swahili
Pata Ushauri wa Daktari Mtandaoni

Hospitali za Apollo Chennai ni mojawapo ya hospitali maarufu zaidi nchini kwa kutoa huduma za kisasa na bora kwa wagonjwa kutoka nchi mbalimbali.

Hospitali ya Apollo Specialty Cancer si tu kwamba ina cheti cha NABH bali pia ni mtoaji huduma wa afya wa kwanza aliyepewa cheti cha ISO nchini India. Hospitali inatoa matibabu ya kisasa kwa magonjwa ya Oncology, Orthopedics, Neurology na Neurosurgery, Upasuaji wa Kichwa na shingo, pamoja na Reconstructive na Plastic Surgery.

Hospitali ya Watoto ya Apollo inatoa huduma bora za matibabu ya quaternary-care kwa watoto, ikiwa na vitanda 100 kwa wagonjwa wanaolazwa.

Hospitali za Magonjwa ya Pekee za Apollo, VAnagaram, zilizo nje ya eneo la mjini hutoa huduma za Cardiology na Upasuaj wa Cardiothoracic, Mifupa, na kusaidia kukabiliana na Mshtuko.

Kituo cha Afya cha Apollo Medical Centre, Karapakkam, OMR, kilicho katika eneo lenye ukuzi wa kibiashara Chennai hutibu maradhi mbalimbali kama vile Boutique Birthing, Gynecology na Obstetrics, Pediatrics, Neonatology na Kisukari.

Hospitali za Apollo Specialty, Perungudi, OMR ni hospitali nyingine inayopatikana katika eneo la OMR ikiwa inatoa huduma za Neurology, Trauma, Cardio Thoracic Surgery na Cardiology.

Hospitali za Apollo Chennai zimepata mafanikio yafuatayo:

  • Hospitali ya kwanza India kuanza kutumia mbinu ya coronary angioplasty, stereotactic radiotherapy na radio-surgery (kwa kansa ya ubongo).
  • Hospitali ya kwanza India kupewa cheti cha IS0 9001 na ISO 14001.
  • Hospitali ya kwanza India Kusini kupewa cheti na Joint Commission International USA na kisha kutambuliwa tena mara 4.
  • Ilitambuliwa rasmi na Serikali ya India kuwe 'Kituo cha Ubora'
  • Ilichaguliwa mara kadhaa kuwa "Hospitali Bora Zaidi ya Binafsi Nchini India" na gazeti la The Week.

Katika Hospitali za Apollo tunaelewa kuwa kutafuta matibabu nje ya nchi yako ni jambo linaloweza kukuhangaisha sana na kukusumbua kimawazo lakini tutakusaidia kupunguza hali hiyo. Turuhusu tukusaidie kupanga pamoja nawe safari kwa kujaza fomu iliyo upande wa kulia ili Msaidizi wetu wa Kimataifa akusaidie.

 

Apollo Hospitals

Address: Greams Road
21, Greams Lane
Off Greams Road
Chennai – 600006

 
Pata Ushauri wa Daktari Mtandaoni
 

Languages

Talk to Our International Representative form

logo
Patients Speak
Master. Hasim, Mauritius

Master Hasim and his family traveled to Apollo Hospitals from Mauritius for pediatric care.