International Patient Care

Search form

 

Utalii wa Matibabu huko Ahmedabad

Swahili
Pata Ushauri wa Daktari Mtandaoni

Hospitali za Apollo, Ahmedabad ni hospitali ya kisasa katika mkoa wa Gujarat. Tangu ilipoanzishwa mwaka wa 2003, hospitali imeendelea kujitahidi kutoa huduma Bora Zaidi Duniani kwa kila mgonjwa.

Wagonjwa kutoka mataifa mbalimbali wanaotibiwa katika Hospitali ya Apollo Ahmedabad hupokea huduma bora katika kipindi chote wanachotibiwa. Hospitali imejidhatiti kutoa huduma bora kuanzia mbinu za kuzuia, kutibu na kupata nafuu kutia ndani elimu ya afya, haswa kwa lengo la kuboresha maisha ya wagonjwa na familia zao.

Hospitali ina madaktari bingwa wa magonjwa 35 wakiwa na lengo la kutoa huduma bora katika nyanja za: Cardiac Sciences, Neuro Sciences, Orthopedics, Cancer, Emergency Medicine na Solid Organ Transplant.

Kwa ufupi Hospitali ya Apollo, Ahmedabad imetimiza yafuatayo:

  • Ina wodi maalumu kwa wagonjwa kutoka nchi mbalimbali
  • Hospitali pekee ya binafsi katika mkoa yenye Benki yake ya damu (Ina cheti cha NABH)
  • Kituo pekee kilichoidhinishwa na CDC kwa ajili ya kukagua afya za watu kabla ya kusafiri nchi kama (USA, Australia, Canada) katika mkoa wa Gujarat.
  • Kuna madaktari bingwa kwa ajili ya magonjwa zaidi ya 35
  • Wamefanikiwa kufanya upasuaji 150 wa kupandikiza viungo
  • Inatoa huduma bora za Stem Cell na Solid Organ transplants
  • Hospitali ya kwanza kutoa huduma ya Liver Transplant katika mkoa
  • Inafanya upasuaji wa modular joint replacement kwenye theatres zilizo na laminar airflow
  • Kuna vifaa vya kufanya uchunguzi kama vile CT Scan, MRI na zingine
  • Ina vitanda zaid ya 85 katika ICU (jambo linalojulikana miongoni mwa hospitali Binafsi katika mkoa)

Hospitali za Apollo, Ahmedabad zina ukubwa wa ekari 10 na iko katika eneo la mwinuko wa sqft 440,000, na ina vitanda 276 kwa ajili ya kulaza (na uwezo wa kuongeza na kutoshea vitanda vingine 400).

Katika Hospitali ya Apollo, tunaelewa kuwa kutafuta matibabu nje ya nchi yako ya nyumbani inaweza kuwa mchakato wa kujaribu na kusaidia kufanya uzoefu usiwe na wasiwasi.Panga safari yako na sisi, au kutumia fomu ya haki ya kuwa na Mwakilishi wa Kimataifa binafsi kukusaidia.

APOLLO HOSPITALS INTERNATIONAL LIMITED

Address :Plot No.1 A, Bhat GIDC Estate,
Gandhinagar - 382428,
Gujarat, India.

Pata Ushauri wa Daktari Mtandaoni

Languages

Talk to Our International Representative form

logo
Patients Speak
Ms. Lilian, Kenya
Ms. Lilian came to Apollo Hospitals Chennai from Kenya for treatment following an accident that resulted in fractures. Just 3 days after her surgery, she was able to walk. She thanks God and Dr.